Meneja wa Bia ya Ndovu Special Malt, Pamela Kikuli akiwasili katika Uwanja wa Kimataifa wa Julius Nyerere akitoka Ufaransa kuchukua tuzo ya Ubora wa Kimataifa (Ndovu High International Quality Trophy) iliyoshinda hivi karibuni kutoka katika taasisi ya Kimataifa ya Monde Selectionnchini Ufaransa. Nyuma ni Mpishi wa bia wa Kampuni ya bia nchini(TBL), Cavin Nkya.
Meneja wa Bia ya Safari Lager, Oscar Shelukindo akiwasili katika Uwanja wa Kimataifa wa Julius Nyerere akitoka Ufaransa kuchukua tuzo ya Ubora wa Kimataifa(Safari Lager High International Quality Trophy iliyoshinda hivi karibunikutoka katika taasisi ya Kimataifa ya Monde Selectionnchini Ufaransa.
Picha ya Pamoja mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Kimataifa wa Julius Nyerere akitoka Ufaransa kuchukua tuzo ya Ubora wa Kimataifa(Ndovu High International Quality Trophy) iliyoshinda hivi karibunikutoka katika taasisi ya Kimataifa ya Monde Selectionnchini Ufaransa.
Picha ya Pamoja mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Kimataifa wa Julius Nyerere akitoka Ufaransa kuchukua tuzo ya Ubora wa Kimataifa(Safari Lager High International Quality Trophy) iliyoshinda hivi karibuni kutoka katika taasisi ya Kimataifa ya Monde Selection nchini Ufaransa
Meneja wa Bia ya Ndovu Special Malt, Pamela Kikuli (kulia) akimkabidhi Meneja wa Kiwanda cha Bia cha Dar es Salaam, Calvin Martin tuzo iliyopata bia ya Ndovu Special Malt mara baada ya kuwasili kutoka nchini Ufaransa(Ndovu High International Quality Trophy) Dar es Salaam jana.
Mpishi wa bia wa Kampuni ya bia nchini(TBL), Cavin Nkya(katikati) akimkabidhi Meneja wa Kiwanda cha Bia cha Dar es Salaam, Calvin Martin tuzo iliyopata bia ya Safari Lager mara baada ya kuwasili kutoka nchini Ufaransa(Safari Lager High International Quality Trophy) Dar es Salaam jana.Kushoto ni Meneja wa Bia ya Safari Lager, Oscar Shelukindo.
Meneja wa Bia ya Safari Lager, Oscar Shelukindo akigonga chiazi na baadhi ya wafanyakazi wa Kapuni ya bia nchini(TBL) wakati wa hafla ya kujipongeza kwa kupata tuzo za ubora wa kimataifa kwa Safari Lager na Ndovu Special Malt Dar es Salaam jana.
Meneja wa Bia ya Ndovu Special Malt, Pamela Kikuli akigonga chiazi na baadhi ya wafanyakazi wa Kapuni ya bia nchini(TBL) wakati wa hafla ya kujipongeza kwa kupata tuzo za ubora wa kimataifa kwa Ndovu Special Malt na Safari Lager Dar es Salaam jana.
Baadhi ya wafanyakazi wa TBL wakijipongeza kwa kushinda tuzo mbili kwa pamoja.
Arusha Yasimama Kwenye Maombi: Miaka 63 ya Uhuru
-
Viongozi wa dini ,mkuu wa mkoa wa Arusha Paul Makonda na wananchi
wakiendelea na maombi katika matembezi ya kuombea mkoa wa Arusha na
maathimisho ya mi...
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.