ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Tuesday, June 24, 2014

MFUKO WA PSPF WAMALIZA WIKI YA UTUMISHI KWA MAFANIKIO MAKUBWA

Ofisa Masoko wa Mfuko wa pesheni kwa watumishi wa Umma PSPF Bi.Rahma Ngassa (kulia) akimkaribisha katibu Mkuu Kiongozi Ombeni Sefue katika banda la PSPF wakati wa maonesho ya wiki ya utumishi wa Umma yaliyomalizika jumatatu ya wiki hii.

Ofisa uhendeshaji wa mfuko wa pesheni kwa watumishi wa umma 'PSPF' Bw, Mohamed Masoud kilia akimpatia mahelezo Katibu Mkuu kiongozi Balozi Ombeni Sefue alipotembelea banda la PSPF wakati wa maonesho ya wiki ya utumishi wa Umma yaliyomalizika jumatatu ya wiki hii.
Mkurugenzi wa mipango ya uwekezaji wa mfuko wa pesheni kwa watumishi wa umma 'PSPF' Bw, Gabriel Silayo katikati akiwa na baadhi ya maofisa wa PSPF wakati wa maadhimisho ya wiki ya utumishi wa umma.
Ofisa uhendeshaji wa mfuko wa pesheni kwa watumishi wa umma 'PSPF' Bw, Mohamed Masoud akimkaribisha Bi, Veronica Nyambajo wakati wa mahadhimisho ya wiki ya utumishi wa umma yaliyomalizika jumatatu hii.
Ofisa uhendeshaji wa mfuko wa pesheni kwa watumishi wa umma 'PSPF' Bw, Mohamed Masoud aki muhakiki mteja Francisca Kwitende ambaye alitembelea banda hilo kwa ajili ya kupata mahelezo mbalimbali wakati wa mahadhimisho ya maadhimisho ya watumishi wa Umma.
Afisa wa mfuko wa pesheni kwa watumishi wa umma Bi, Leila Laizer kulia akimpatia maelekezo Francisca Kwitende ambaye alitembelea banda hilo kwa ajili ya kupata mahelezo mbalimbali wakati wa mahadhimisho ya maadhimisho ya watumishi wa Umma.
Baadhi ya wananchi waliotembelea banda la PSPF wakipatiwa huduma mbalimbali wakati wamaadhimisho ya wiki ya UTUMISHI WA UMMA.
Afisa uendeshaji wa mfuko wa pesheni kwa watumishi wa umma 'PSPF'  Bw,Hadji Jamadary kulia akitoa maelekezo mbalimbali jinsi ya kujiunga na mfuko huo.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.