ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Sunday, June 22, 2014

WAZIRI MEMBE APOKELEWA KWA KISHINDO JIJINI MWANZA KUZINDUA FILAMU YENYE YA KUUTANGAZA MJI WA MWANZA IITWAYO ILOVE MWANZA.

Mbele kabisa ya msafara wa mapokezi ya Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa kimataifa Mhe. Bernard Membe kulikuwa na taswira ya usalama toka jeshi  la polisi kwani kulikuwa na idadi kubwa ya vyombo vya usafiri binafsi ambavyo viliongozwa na wanachama wa chama cha Bodabodamkoani Mwanza.
Bodaboda wakijinafasi kwenye mapokezi ya mgeni rasmi  Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa kimataifa Mhe. Bernard Membe ambaye ameingia jijini Mwanza kuhudhuria uzinduzi wa Filamu mpya toka Mwanza iitwayo I Love Mwanza ambapo uzinduzi wake wa kwanza ulifanyika jana usiku Hoteli ya JB Belmonte na kisha leo utafanyika Uwanja wa CCM Kirumba jijini hapa.
Utundu zaidi.
Msafara ukiendelea.
Vyombo binafsi...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa kimataifa Mhe. Bernard Membe akiwa katika red capet ya kuingia ukumbi wa Uzinduzi wa kwanza wa Filamu ya I Love Mwanza uliofanyika jana Hoteli ya JB Belmonte, wa tatu kulia ni Waziri wa Mali asili na Utalii nchini Lazaro Nyarandu aliye ambatana na mgeni rasmi kusapoti tasnia ya Filamu nchini.  
Mwenyekiti wa TDFAA Mwanza Bi. Anitha Kagemulo.
Sisters.
DadaZ.
Mmoja wa Mc wa Hafla hiyo Mr. Albert G. Sengo.
Sister Jane.
Mtangazaji wa Star Tv Bernard James aka 'Ben Star'
Mwalikwa.
Nice One.
Style one.
Kamanda wa Blog hii Peter Fabian.
Meneja wa Villa Park Rama (L) akiwa na Ben Star.
Wakali kutoka Bongo Movie kutoka Kushoto ni Dude, Mahinda, Wastara na Swebe.
Bongo Movie Star.
Kama ni burudani Twanga Pepeta walikonga rohoza mashabiki.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.