![]() |
Kila mmoja aliyetia timu hapa ndani alimkubali kwa kile alichokuwa akifanya. |
![]() |
Dah sipati picha engo za Ma-Instagram, Face Book na Twitter....zilijaaje mapix ya tukio...!!!! |
![]() |
Wimbo: "Jamila analia bwana wake amemuacha......!!" |
![]() |
Jose ana kwa ana na mashabiki wake!! |
![]() |
Battle hatariii!! |
![]() |
The zoom from behind. |
![]() |
Kutoka stage ilikuwa ni kazi nzito kupata picha, kwani kulikuwa full ile mbayaaaaaa na muvmenti zilikuwa si za kitoto!!! |
![]() |
Sing with me....!! |
![]() |
Lilipigwa Pose kisha track ya Tubonge ikafuatia....!!! |
![]() |
TUBONGE LIVE. |
![]() |
Shabiki huyu alipandwa na mzuka kiasi cha kupanda kwa stage kuonesha mavitu, kilichofuatia mara baada ya hapo ni Chameleone kuanza kumtunza na mihela! |
![]() |
Hapa zilimwagwa fedha kiasi cha box kadhaa ikawa ni fursa ya kujizolea. |
![]() |
Chameleone na shabiki wake wakichukuwa U-Kodak kwa G. Sengo blog. |
![]() |
Wow oh my my...... |
![]() |
Ulipopigwa wimbo wa BADILISHA nyomi ya akinadada ikavamia stage kucheza. |
![]() |
Somo limekubalika. |
![]() |
Hapa akizungumza na shabiki zake kwa lugha mama (Kiswahili) |
![]() |
DjZ' |
![]() |
Jose Chameleone (L) akipata picha ya pamoja na kiongozi wa bendi inayotumbuiza Villa Park, naizungumzia Super Kamanyola mwanamuziki Roy Mukuna (C). |
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.