Askari wa kikosi cha usalama barabarani wilayani Sengerema akiongoza maandamano ya maadhimishio ya siku ya wafanyakazi duniani Mei mosi mjini humo. |
Wafanyakazi wa sekta wa mashirika ya serikali, taasisi na makampuni ya watu binafsi walishiriki zoezi hilo. |
Maandamano wilayani Sengerema. |
Imependeza. |
"Inapendeza kujumuika japo mara moja kwa mwaka na kujadili changamoto zetu" Kama wanasema wafanyakazi hawa wa wilayani Sengerema. |
Ni kutoka Sengerema na sasa tueleke Mwanza mjini (Fuatilia picha zinazo fuata.) |
Jijini Mwanza maandamano yafanyika na kuishia Uwanja wa CCM Kirumba Mwanza. |
Meza kuu Mkuu wa wilaya ya Ilemela Amina Masenza (Kushoto) akiwa na Mkuu wa wilaya ya Nyamagana Baraka Konisaga wakifurahia yanayojiri toka maonyesho ya wafanyakazi kupitia maandamano. |
Wakiteta jambo ni Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Nyamagana Raphael Shilatu (kushoto) na Mkuu wa wilaya ya Ilemela Amina Masenza. |
Kama sehemu ya kuboresha afya kwa njia ya mazoezi huyu ni mshindi wa mbio za kufukuza kuku upande wa wanawake ni kutoka TANROAD Mwanza Bi. Mariam John. |
Mshindi wa mbio za kufukuza kuku wanaume ni Spilian Kaburu kutoka TANESA. |
Michezo ya Nyoka ni jadi ya ngoma za Mwanza. |
Chezea burudani macho yote ya wanausalama kwenye 'utamu'. |
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.