ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Sunday, May 11, 2014

FEDHA FEKI ZACHANWA LIVE NJIA PANDA CLOUDS FM .

Kama ulikuwa makini kusikiliza kipindi cha njia panda hii leo kilichokuwa kikiongozwa na Dr. Isaac Maro na kusikiliza kisa na mkasa uliomkuta msimuliaji aliyepachikwa jina la bandia 'Baraka' (Kwa ajili ya kulinda usalama wake), sasa zile pesa zilizokuwa zikiongelewa kuwa ni feki huu ni mfanowe. 
Kisha Pesa hizo feki zilichanwa chanwa live ili kudhihirisha umma kuwa Njia panda na Clouds Fm haiungi mkono biashara haramu ya fedha bandia.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.