ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Wednesday, April 2, 2014

WARSHA YA MFUKO WA BIMAYA AFYA (TIKA) WATINGA BARIADI.

Mkurugenzi wa Halmashauri ya mji wa Bariadi Erica Musika akiongea katika warsha ya mfuko wa Bima ya Afya ya TIKA mjini Bariadi.
Erica Musika toka meza kuu.
Waheshimiwa Madiwani wakisikiliza kwa umakini maelezo kutoka kwa wawezeshaji wa bima ya afya ya Tiba kwa Kadi (TIKA).
Mwezeshaji wa mada ya tatu Geofrey Tumaini kuhusu  ubora wa huduma ya za mfuko wa afya ya jamii,mapato na matumizi  ya mfuko wa TIKA
Mwakilishi wa Mkurugenzi wa Mfuko wa bima ya Afya bi Ellentruder  Mbogoro akitoa salamu ya mkurugenzi  ambaye hakufanikiwa kuhudhulia katika warsha hiyo ambapo aliweza kuwasilisha mada ya pili ya  dhana na muundo,manufaa ya TIKA kwa wakazi wa mji wa Bariadi.
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji wa Bariadi akijaribu kuuliza maswali juu ya huduma hiyo ya Bima ya Tika katika ukumbi wa Mtakatifu John Mjini Bariadi.
Katibu tawala wa mkoa wa Simiyu Mwamvua Jilumbi akitoa hotuba ya Mkuu wa mkoa wa Simiyu Paschal Mabiti alipomwakilisha katika warsha hiyo ambapo mkuu wa mkoa alialikwa kuwa mgeni rasmi.
Mwezeshaji wa mada ya kwanza bwana Derick Ndyetabula akitoa mada ya kuhusu bima ya afya na mwelekeo wake.

Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji wa Bariadi akijaribu kuuliza maswali juu ya huduma hiyo ya Bima ya Tika katika ukumbi wa Mtakatifu John Mjini Bariadi.
Sekretarieti kutoka dare s salaam ambao waliweza kuhudhulia warsha hiyo.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.