ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Wednesday, April 2, 2014

MAJINI KIDUCHU NA NCHI KAVU MWANZA.

Ni muonekano kidizaini wa nyuma ya mawe ya Bismark jijini Mwanza.
Mv Samar 3 ikielekea kutia nanga katika bandari yake Kamanga.
Kamanga Ferry na pilika zake.
Kuelekea Sengerema.
Daraja njiani kuelekea Musoma mkoani Mara.
Biashara kando kando mwa barabara ya kuelekea Bwiru.
ilee...!!

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.