Siku moja nilisimama hapo kwa interest ya kujua kinachoendelea nikajagundua ni wizi mtupu na ushirikina pia kwani muda wote ni udi ubani,baadaye nikatoka pembeni nikauliza vijana wauza karanga hapo njiani nikawaambia mbona Kama kinachofanyika hapo ni wizi? wakaniambia ndo hivyo tunashangaa hata we ulikuwa umeingia mkenge,kwa Hali hiyo ni kwamba jamii inajua kinachoendelea hapo ni wizi kulikoni jeshi letu la polisi wenye jukumu la kulinda usalama wa raia na mali zao? |
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.