KAMANDA wa Jeshi la polisi mkoa wa Mwanza Valentino Mlowola akizungumza na waandishi wa vyombo mbalimbali vya habari jijini hapa (hawapo pichani), kuelezea jinsi jeshi lake lilivyo jipanga kuhakikisha suala la ulinzi
na usalama linazingatiwa na kuimarishwa katika kipindi chote cha sherehe za sikukuu ya
Pasaka mkoa wa Mwanza. Pia Kamanda Mlowola alitumia fursa hiyo kuwaasa wananchi kwa kutoa ushirikiano. (BOFYA PLAY KUMSIKILIZA)
RAIS SAMIA AFTURISHA WATOTO KIKOMBO DODOMA
-
Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe.
Mwanaidi Ali Khamis akigawa iftar kwa mmoja ya mtoto anayelelewa katka
Makao ...
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.