![]() |
| Ni basi la abiria 60 ambalo hufanya safari zake Mwanza - Shiyanga hadi Kahama. |
![]() |
| Ni basi aina ya Scania toleo la zama hizo enzi za Mwalimu ambalo hata hata speed meter imekufa.. |
![]() |
| Yahitaji kujipanga au kuwa na msuli ili kupiga gia... |
![]() |
| Ili wasafiri waondoke wakiwa na mali za mjini. |
![]() |
| Hapo sasa twangoa nanga kituo cha mabasi. |
![]() |
| Mbele kwa mbele.... |
![]() |
| Safari safari ya hofu imeanza, jeh tutafika? |
Tupe maoni yako







0 comments:
Post a Comment