Shangwe. |
Mabingwa Safari Pool Higher Learning
wapatikana Iringa Mbeya.
Na
Mwandishi Wetu.
MIKOA ya Iringa na Mbeya imefanikiwa kupata mabingwa wa mashindano ya mchezo wa Pool
unaoshirikisha Vyuo vya Elimu ya juu yajulikanayo kama “Safari Pool Higher Learning
Competition 2014” mwishoni mwa wiki
katika viwanja tofauti na hivyo kupata waakilishi wa kila mkoa watakokwenda kushindana kitaifa mkoani
Kilimanjaro May 4,2014.
Mkoa wa Iringa,
Chuo kilichofanikiwa kutwaa ubingwa wa mkoa ni chuo cha RUCCO
ambacho kwa ubingwa huo kilizawadiwa fedha taslimu shilingi 500,000/= na nafasi ya kupeperusha bendera ya Mkoa wa Iringa kwenye mashindano ya kitaifa mkoani
Kilimanjaro.
Nafasi ya pili ilichukuliwa na chuo cha Tumaini ambacho kilizawadiwa fedha taslimu Shilingi 300,000/=, nafasi ya tatu ilichukuliwa na Chuo cha
Mkwawa ambacho kilizawadiwa fedha taslimu Shilingi 200,000/=
na nafasi ya nne ilichukuliwa na chuo cha CDTI
ambacho kilizawadiwa fedha taslimu shilingi 100,000/=.
Upande wa mchezaji mmoja mmoja Wanaume, Mbaraka
Godfrey kutoka chuo cha Mkwawa alitwaa ubingwa na kuzawadiwa fedha taslimu shilingi
150,000/= pamoja na tiketi ya kuwalikisha mkoa wa Iringa upande wa mchezaji mmoja mmoja kwenye fainali za kitaifa Mkoani Kilimanjaro. Upande wa wakinadada,
Betrice Madafu alifanikiwa kutwaa ubingwa na kuzawadiwa fedha taslimu shilingi 100,000/=
pamoja na tiketi ya kuwakilisha wakinadada mkoa kwenye fainali za kitaifa.
MkoaniMbeyachuokilichofanikiwakutwaaubingwawaMkoani
Chuo cha Mzumbe ambacho pia kilizawadiwa fedhata slimu shilingi 500,000/=
pamoja na nafasi ya kuwa kilishajiji la
Mbeya katikaf ainali za kitaifa mkoani Kilimanjaro.
Nafasi ya pili ilichukuliwa na chuo cha
MUST ambacho kilizawadiwa Shilingi 300,000/=, nafasi ya tatu ilichukuliwa na chuo cha TIA
ambacho kilizawadiwa Shilingi 200,000/= na nafasiya nne ilichukuliwa na chuo cha
Tumaini ambacho kilizawadiwa fedha taslimu Shilingi 100,000/=.
Upande wamchezaji mmoja mmoja wanaume,
Steven Kyasi kutokachuo cha Mzumbea litwaa ubingwa na kuzawadiwa fedha taslimu Shilingi
150,000/=
pamoja na nafasi ya kuwakilisha Mkoawa Mbeya upande wawachezaji mmoja mmoja kwenye fainali za kitaifa Mkoani
Kilimanjaro na upande wa wakinadada, Amina Mhina kutoka chuo cha Mzumbe pia alifanikiwa kutwaa ubingwa huo na hivyo kuzawadiwa fedhata slimushilingi
100,000/= pamojanakuwakilishajiji la
Mbeya upande wamchezaji mmoja mmoja katika fainali za kitaifa May 4,2014. Mkoani
Kilimanjaro.
Fainali za Kitaifa zitashilikisha mikoa na neambayo ni Iringa,
Mbeya, Morogoro, Dodoma, Mwanza, Dar es Salaam, Arusha na wenyeji wa mashindano wa mwaka huu wa
2014,Mkoawa Kilimanjaro.
Mabingwa watetezi wamashindano hayo ya
Pool vyuo yanayo dhaminiwa na TBL kupitia Bia yake ya Safari Lager ni Dar es Salaam,
ambacho ni chuo cha CBE.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.