![]() |
| Katibu wake Mr. Shijani A. Mtunga akisoma risala kwa mgeni rasmi pamoja na wadau walio jitokeza kwenye sherehe hiyo iliyofanyika ndani ya ukumbi wa Gold Crest jijini Mwanza. |
![]() |
| Hawa ni mameneja wa Hoteli mbalimbali jijini Mwanza wakiwa katika parade la utambulisho. |
![]() |
| Jiografia ya ukumbi wa Nyerere ndani ya Gold Crest katika usiku huo. |
![]() |
| Chating za hapa na pale... |
![]() |
| Meza za wadau. |
![]() |
| Ni hali za meza za watumishi wa hoteli mbalimbali walio jitokeza hapa. |
![]() |
| Vijana wa kileo. |
![]() |
| Majeshi ni moja ya wanamuziki walio nakshi usiku huo kwa burudani. |
![]() |
| Mc Magoma ndiye aliyekuwa akiendesha uskani wa shangwe za usiku wa uzinduzi. |
![]() |
| Party pipo!! |
![]() |
| Meza naada ya meza. |
![]() |
| Safi. |
![]() |
| Wadau kutoka Halmashauri ya jiji la Mwanza walio ambatana na mgeni rasmi. |
![]() |
| Dj Chriss on the 'Wheelz of Chuma'. |
![]() |
| Chiaz ya meza kuu. |
![]() |
| Chiaz za wadau wenyewe.... |
![]() |
| Kisha ikafuata burudani pevu toka kwa bendi ya Super Kamanyola ambayo maskai yake ni Villa Park Resort. |
![]() |
| Nyuz bin nyuz. |
![]() |
| Anaitwa Benno Villa. |
![]() |
| Burudani imekolea. |
![]() |
| Hapa jeh!! |
![]() |
| Hatari lakini salama!!! |
Tupe maoni yako























0 comments:
Post a Comment