Mkuu wa mkoa wa Simiyu Mabiti alizindua moja kati ya miradi ya maji kwa kujaza ndoo na kisha kumtwika Bi. Anna Jilala.
|
Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Chief Paschal Kulwa Mabiti akifungua
rasmi daraja la mto Ngegemo
|
Wanakikundi cha Ngoma wakipalilia zao la pamba katika kijiji
cha Senani wilayani Maswa.
|
Palizi likiendelea.
|
Mkuu wa Mkoa Akiwa katika bwawa linalosabaza maji wilayani Maswa lipo katika kijiji cha Zanzui ikiwa ni kilele cha wiki ya maji.
|
Baseki wapo kazini wakitumbuiza ukiwa mkoani simiyu utakutana nao wanachapa kazi wala sio maaskari ni wazee kwa shughuli uspime |
Mkuu wa mkoa wa simiyu akikagua mradi wa maji katika kijiji
cha kilulu kata ya bunamhala wilayani bariadi.akiwa na mkuu wa wilaya ya
Bariadi Erasto Sima.
|
Mmoja wa wanakijiji wa kijiji cha Isanga wilayani maswa akicheza na Nyoka katika uzinduzi wa daraja la mto ngegemo linalounganisha vijiji vya Isulilo na Ngongwa. |
Mkuu wa mkoa wa simiyu akipata maelekezo kutoka kwa mhandisi
wa maji wilaya ya Maswa. PICHA NA MWANDISHI WETU FAUSTIN FABIAN.
|
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.