| Divas wa Skylight Band... Kutoka kushoto ni Digna Mbepera, Mary Lucos na Aneth Kushaba AK47 wakikonga nyoyo za mashabiki wao ndani ya kiwanja chao cha nyumbani Thai Village Ijumaa iliyopita. |
| Rapa Joniko Flower akiongoza kikosi cha Skylight Band kutoa burudani ya aina yake Ijumaa iliyopita. |
| Mpiga Tumba wa Skylight Band Daudi akifanya yake jukwaani...! |
| Hela yako haipotei bure kwa burudani kama hii... ni balaaa...! |
| Sam Mapenzi akipagawisha mashabiki wa Skylight Band ndani ya kiota cha Thai Village Ijumaa iliyopita...Pichani ni mdau Alois Ngonyani akionekana kukunwa na uimbaji wa kijana Sam Mapenzi. |
| Sam Mapenzi a.k.a asali ya warembo akiburudika na mmoja wa mashabiki wa Skylight Band. |
| Muziki wa pwani a.k.a mduara ulihusika pale kati. |
| Mashabiki wa Skylight Band wakijimwaga na mduara. |
| Palikuwa hapatoshi hapo kati. |
| Wadau wa Skylight Band wakishow love na Ukodak. |
| Mwanafamilia wa Skylight Band Victor Maginga (kulia) akiwa na DJ Peter Moe pamoja na mdau wakipata Ukodak. |
| Aneth Kushaba AK47 akishow love na washirika wakubwa wa Skylight Band Alois Ngonyani (katikati) pamoja na Emmanuel Francis. |
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment