Tangu alipong'atuka katika dimba la Old
Trafford, kuachana na masuala ya soka na kuifundisha timu hiyo, Manchester United imekuwa na matokeo
kama ya uigizaji vile.
Ikiwa katika nafasi ya saba kwenye msimamo wa ligi kuu ya England
(EPL), matumaini ya mashabiki wake kuona wachezaji wa klabu hiyo wakivishwa
mataji kwa msimu huu yana yeyuka kwa kasi.
This isn't just bad news on the football field. The
club's share price is dropping, and the dissatisfied views of investors may
just seal the fate of current manager David Moyes.
Alex Thomas kutoka kipidi cha World Sport cha televisheni ya CNN anaungana na mwanadada Becky kuarifu kipi kimekwenda kombo ndani ya klabu hiyo, na jinsi Manchester inavyo jikakamua kupambana na hali hiyo tata.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.