Joniko Flower akiongoza safu ya Skylight Band kutoa burudani kwa mashabiki wa Bendi hiyo Ijumaa iliyopita kwenye kiwanja chao cha Nyumbani Thai Village Masaki jijini Dar.... Ni kila Ijumaa zote za wiki wanakuwa hapo kwa ajili ya kuwapa burudani mashabiki wake!!! |
Meneja wa Band Aneth Kushaba AK47 na Winfrida Richard wakiwajibika jukwaani kuwapa utamu mashabiki wa Skylight Band. |
Hashim Donode na Winfrida Richard wakitawala jukwaa huku wakisindikizwa na Digna Mbepera pamoja na Mary Lucos. |
Madiva wa Skylight Band wakisaka Dough....... Kutoka kushoto ni Winfrida Richard, Mary Lucos na Digna Mbepera. |
Babu Athumani akiwapa raha mashabiki wa Skylight Band. |
Joniko Flower, Sony Masamba na Sam Mapenzi wakisebeneka taratibu bila jasho..!!! |
Mheshimiwa Bundala akiwa na kijana wake Emmanuel Francis (wenye vest) wakisebeneka na midundo ya Skylight Band. |
Hapo ni Yachuma chuma mwanzo mwisho...!! |
Skylight Band ndio habari ya mujini usiku wa leo ndani ya kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar. |
Pananogaje......Picha inaongea...!! |
Wadau wakishow love na Ukodak. |
Wadau wa Skylight Band wakipata Ukodak. |
Mchezaji mkongwe wa Kabumbu John Mwansasu akishow love na Lubea wa Skylight Band pamoja na mdau ndani ya kiota cha Thai Village Ijumaa iliyopita. |
Mdau Dagma (mwenye miwani), Pacha wa Customer Care, Lubea pamoja na Mdau wakipata Ukodak. |
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.