![]() |
| Juu ya kisiki. |
![]() |
| Soma lebo. |
![]() |
| Biashara ya nanga. |
![]() |
| Ujembe toka kwa wahenga. |
![]() |
| Chakula kikuu kwa wakazi wa kanda ya ziwa ni ugali na ugali unao lika hapa ni ule wa mahindi uliochanganywa na muhogo unaitwa udaga. |
![]() |
| Mmoja kati ya wapiga picha wa blogu hii Zephania Mandia akionesha muhogo ulio kaushwa na sasa uko sokoni katika moja ya vituo vya kusaga na kukoboa twaita 'Mashineni'. |
![]() |
| Biashara ya mihogo imeshamiri nayo yauzwa hadi kwa magunia. |
![]() |
| Chakula kingi ulichowahi kupika kilikuwa cha idadi gani ya watu? |
![]() |
| Wajenzi wa mradi mkubwa wa Lakairo Investment uliopo nje kidogo ya mji wa kisesa wakirejesha jikoni zana za 'menyu'. |
Tupe maoni yako









0 comments:
Post a Comment