ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Friday, February 7, 2014

NAPE: KWANINI MFUMO WA DEMOKRASIA YA VYAMA VINGI NCHINI UGEUKE KUWA LAANA?

KATIBU wa Siasa na Uenezi Taifa (CCM) Nape Mnauye amelaani vikali kitendo kilichofanywa na viongozi na wafuasi wa CHADEMA kufanya vurugu kwa kuwashambulia kwa mapanga, kuwapiga nondo, kuwatoboa nondo na kuwapora fedha viongozi na makada wa CCM katika tukio la hivi karibuni lililotokea wilayani Kahama mkoani Shinyanga. 

Akizungumza leo na waandishi wa habari ofisi za CCM Mkoa wa Mwanza, Nape alisema kuwa imefika wakati sasa vyombo vya dola kuchukua hatua kali zaidi sanjari na sheria kuchukua mkondo wake kwa wanaofanya vitendo vya uvunjifu wa amani na kufanya mauaji na ukatili kwa wananchi kwa kisingizio cha siasa. 
MSIKILIZE ALICHOSEMA KWA KUBOFYA PLAY.
Sehemu ya waandishi wa habari.
Unataka vijana wa CCM wajipange kusimamia ulinzi kwa nini msiwaachie polisi suala hilo wasimamie wao kama ada yao tofauti na kuwatumia Green Guard ambapo inaweza kuleta tafsiri kuwa sasa ni wakati wa kutumia nguvu na sheria mkononi? 
BOFYA PLAY NAPE AKIJIBU SWALI HILO. 
Je CCM haina Imani na Jeshi la na vyombo vyake vingine vya dola?
NAPE BOFYA PLAY ANAZUNGUMZA.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.