![]() |
| Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Mohamed Gharib Bilal ndani ya banda la TANAPA. |
![]() |
| Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Mohamed Gharib Bilal akipata maelezo ndani ya banda la Benki ya Standard Charterd . |
![]() |
| Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Mohamed Gharib Bilal akipata habari za wawekezaji wa zao la Samaki kiwanda cha VIC FISH Mwanza. |
![]() |
| Nyuso za furaha na bashasha za wadau wa Halmashauri ya jiji la Mwanza. |
![]() |
| Wadau wa NMB. |
![]() |
| Mama Donata Swai akionesha moja kati ya pochi zilizo tengenezwa kiufundi kwa kutumia bidhaa za vitambaa na ngozi asili. |
Tupe maoni yako











0 comments:
Post a Comment