ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Saturday, February 15, 2014

JANUARY MAKAMBA NA WASSIRA NAO WAHOJIWA NA KAMATI NDOGO YA MAADILI YA CCM

Naibu Waziri wa Mawasiliano Sayansi na Teknolojia Ndugu January Makamba akizungumza na waandishi wa habari nje ya Makao Makuu ya Chama Cha Mapinduzi baada ya kuhojiwa zaidi ya saa moja na nusu na Kamati Ndogo ya Maadili. 

Naibu Waziri wa Mawasiliano Sayansi na Teknolojia Ndugu January Makamba akiondoka nje ya ofisi za Makao Makuu ya Chama Cha Mapinduzi baada ya kumaliza kuhojiwa kwa  zaidi ya saa moja na nusu na Kamati Ndogo ya Maadili.Picha na Adam Mzee
Waziri wa Nchi ofisi ya Rais (Mahusiano na Uratibu) Ndugu Stephen Wassira akzungumza na waandishi wa habari baada ya kuhojiwa na kamati ya maadili ambapo alisema hakukuwa na tuhuma zozote zaidi ya mashauriano na alisisitiza yeye kamwe hawezi shiriki kukivunja chama.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.