![]() |
| Hii hapa sehemu ya Kamati ya maandalizi ya Sherehe hizo ikiwa kwenye maandamano. |
![]() |
| Maandamano yamefana kweli kwani kila muumini anaonekana ndani ya vazi maalum. |
![]() |
| Tabasamu muhimu kwa siku hii ya furaha. |
![]() |
| Jumuiya ya Agape Nyamanoro ikiwakilisha. |
![]() |
| Waumini wamejitokeza kwa mwitikio wa hali ya juu. |
![]() |
| Akina mama ndani ya msafara wa maandamano. |
Tupe maoni yako







0 comments:
Post a Comment