| Bondia Twalibu Mchanjo kulia akimpiga mpinzani wake Eliya Ngozi, konde zito ambalo lilimpeleka mpaka sakafuni na kuhesabiwa hata hivyo alirudi uringoni kupambana Mchanjo alishinda kwa pooint picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com |
| Bondia Twalibu Mchanjo kulia akimpiga mpinzani wake Eliya Ngozi, konde wakati wa mpambano wao uliofanyika Chanika mwishoni mwa wiki iliyopita, Mchanjo alishinda kwa pooint. |
| Bondia Twalibu Mchanjo kulia akiamuliwa na refarii Saidi Chaku aende kona nyeupe ili aenderee kumuhesabia mpinzani wake Eliya Ngozi, baada ya kumtandika konde na kwenda sakafuni |
| Bondia Twalibu Mchanjo |
| Bondia Twalibu Mchanjo akinyooshwa mkono juu kuashilia ushindi wake |
| Mabondia Adam Yahaya kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Mohamed Kikolekwa wakati wa mpambano wao uliofanyika Chanika mwishoni mwa wiki iliyopita Yahaya alishinda kwa point |
| Bondia Fadhili Awadhi kushoto akipambana na Mfaume Jumanne wakati wa mpambano wao Awadhi alishinda kwa K,O ya raundi ya pili ya mpanmbano huo |
| Bondia Fadhili Awadhi akiwa amemgalagaza chini Mfaume jumannepicha na www.superdboxingcoach.blogspot.com |
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment