ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Monday, February 17, 2014

"FOOLMOON YA VALENTINE'S DAY NA SKYLIGHT BEACH RESORT MWANZA ILIKUWA NI NOWMA"

On the one n' two ni Dj Mafuvu akishusha mvua ya burudani kwenye Fool Moon Party iliyofanyika siku ya Valentine 14/feb/2014 Skylight Beach Resort Malimbe Mwanza.
Eneo lilikuwa POA XANA kwa FrendZ kujiachia bila ya bugdha.
Ipate jiografia ilivyokuwa full smart kona hadi kona.
You see that chata of Jembe ni Jembe?
From the bottom to the top yere wuu' dancing flow.
Watu wa nguvu watu wa ukweli. 
Ngoma baada ya ngoma.
Mkurugenzi wa Skylight Beach Resort (Jembe ni Jembe) Sebastin Ndege akitoa shukurani kwa wakazi wa Mwanza na wageni waliofika eneo la tukio kushuhudia uwekezaji huo wa burudani ya kiwango cha juu uliowekezwa na wazalendo wenye nia ya kukuza utalii wa Mwanza Tanzania na kujulikana kimataifa. Kulia anaonekana DJ Mkongwe nchini Dj Nelly na kule kushoto ni Dj Frank.
Katika usiku huo mbalamwezi ilionekana katika umbo kamilifu (duara zima).
Victor Maleko na Valentine's wake na mbele ni Oliver Sengo. 
G. Sengo naye akajoin pale kati.
Frendz walikuwa tite ile kinyama na migido ya hapa na pale.
Wakiinjoi maandhari: Pichani ni moja kati ya watu wa kwanza kutia timu ndani ya Skylight Beach Resort Malimbe Mwanza nakujipatia zawadi za T.Shirts za Jembe ni Jembe. 
Fool moon na Valentine's Day 2014 toka Jembe.
Dj Mafuvu aliteka hadhira kwa kuselekti ngoma kali mwanzo mwisho.
The sWAGGa's continue. 
Ifanye iwe wallpaper yako kwa skini ya computer yako.
Kwa mbaaaaaali bila flash.......Just muonekano wa Skylight Beach Resort Malimbe Mwanza.
By. G. Sengo.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.