![]() |
| Jiwe la jubilee. |
![]() |
| Maaskofu waalikwa toka makanisa mbalimbali kanda ya ziwa na Tanzania kwa ujumla. |
![]() |
| Baada ya tukio la kuzindua jiwe la Jubilee Maaskofu na mamia ya waumini walielekea kwenye jengo la Kanisa kuu la Mwanza kwaajili ya kulizindua. |
![]() |
| Kisha mgeni rasmi Mkuu wa KKKT Askofu Dr. Alex Geaz Malasusa aligonga malango ya kanisa na kuingia ndani kwa mara ya kwanza ikiwa ni rasmi. |
![]() |
| Mgeni rasmi Mkuu wa KKKT Askofu Dr. Alex Geaz Malasusa alikuwa ni wa kwanza kuongoza msafara wa maaskofu, wachungaji na mamia ya waumini waliohudhuria Jubilee hiyo. |
![]() |
| Ibada inaendelea. |
![]() |
| Kwaya ya Imani KKKT. |
![]() |
| Wageni toka mataifa mbalimbali ulimwenguni nao pia wameshiriki maadhimisho ya Jubilee hiyo. |
![]() |
| Kwaya alikwa ya KKKT Kijitonyama toka jijini Dar es salaam iliipamba Jubilee. |
![]() |
| Nyimbo nzuri nzuri zilisikika. |
![]() |
| Wanamuziki wa KKKT Kijitonyama. |
![]() |
| Maandhari ya kanisa toka juu na upande wa kulia. |
![]() |
| Kushoto na kulia hadi mbele kwenye madhabahu. |
![]() |
| Kanisa hili limejengwa kwa nguvu za waumini wa ushirika wa Imani, waumini wa sharika nyinginezo na marafiki wa usharika huo na DMZV. |
![]() |
| Sehemu waliyoketi Kamati ya maandalizi ya Jubilee na Ujenzi. |
![]() |
| KKKT Imani wakitoa huduma ya kiroho kwa njia ya uimbaji. |
Tupe maoni yako





















0 comments:
Post a Comment