ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Sunday, February 23, 2014

DIAMOND, MADEE, CHEGE NA TEMBA WAFANYA KWELI TAMASHA LA COCA COLA ZOO.

Diamond Platnum him self  akionyesha style yake ya ngololo inavyochezwa mbele ya umati wa mashabiki waliofurika vyakutosha kwenye uwanja wa Furahisha Kirumba jijini Mwanza ambapo msanii huyo alipiga bonge la show.
Toka kwa mashabiki hadi kwenye stage.
Burudani mwanzo mwisho.
ze nyomi tamashani.
Madee katika stage ni nowma.
Madee na mistari yake akiburudisha mashabiki waliofurika kwa wingi uwanja wa Furahisha Kirumba jijini Mwanza.
Madee.
Mdau wa Coca cola akigawa bilauli kwa mashabiki kwaajili ya mimina mimina za kinywaji chao. 
Mimina mimina za Coca cola kwa mashabiki.
Katika stage sasa ni zamu ya Chege Chigunda na Mheshimiwa Temba kukisanukisha kwenye stege la viwanja vya Furahisha jijini Mwanza.
Hatariiiii.
Engo nyingine.
Wanaumeeeee..!
Star wako kwenye stage.
Born2shine na star wako.
Maurice Njoweka ambaye ni Meneja wa Bidhaa ya Cocacola akizungumza na waandishi wa habari juu ya tamasha hilo kubwa lililonuia kutoa burudani kwa mashabiki wa Mwanza kama sehemu ya shukurani kwao kwa kuziamini bidhaa za Coca cola na kuzitumia.
Enjoy your drink.
Palikuwa hapatoshi.
PICHA ZOTE NA ZEPHANIA MANDIA
 www.gsengo.blogspot.com

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.