| Barabara ya Lumumba jijini Mwanza na heka heka zake katika kipindi cha mvua. |
| Mifereji ya maji taka ni finyu nayo ikishinda bila kufanyiwa usafi ikiwa ni pamoja na uzibuaji hali huwa tete. |
| Adha waipatayo wafanyabiashara waliopangisha kwenye maduka ya majengo yaliyopo pembezoni kwa kituo cha daladala za Mwaloni zamani karibu na soko kuu. |
| Mitaro imejaa, barabara zimejaa maji, Si biashara tena bali sasa ni kila mmoja kuokoa mali zake. |
| Chepe chepe...dugu yake tepe tepe. |
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment