Flora Mbasha akimtukuza Mungu siku ya tamasha la kuchangia mfuko wa ujenzi wa kanisa la EAGT City Centre, linaloongozwa na Mchungaji Florian Katunzi. Enjoy filamu hii ya muziki yenye zaidi ya dakika 17, ambapo Flora na timu walizikonga nyoyo za mashabiki wa muziki wa Injili.
0 comments:
Post a Comment