Katika zama hizi za mvua Kanda ya ziwa inashuhudia mvua zinazonyesha kwa kiwango cha hali ya juu zikiambatana na radi na upepo mkali sasa kule kitaani kwetu tunakojenga kwa maamuzi bila kuzingatia kanuni katika kujihami blogu hii inatoa rai kwa wananchi kuandaa mitaro kwani kipindi hiki hakisomeki, penye mitaro safisheni na kwa wale walio jenga au kuweka vizuizi kwenye mikondo ya maji chonde chonde pisheni njia.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.