Kabla ya mbinu hii, ilikuwa desturi ya wakazi wa eneo la Lamadi mkoani Simiyu kufika kwenye kiota hiki cha mchuuzaji magazeti, mara tu magazeti ya siku yanapotinga, watu walikuwa wanayasoma yakiwa mezani wakidai kwamba wanatizama yaliyomo kisha watanunua na mwisho wa siku wasinunue kwa madai kuwa hawajakuta habari wazitakazo, hali ambayo imekuwa ni hasara kwa muuzaji, mtu anapitia taarifa zote muhimu za gazeti kisha anasepa, wakiyaacha magazeti yamechakaa na kutota mafuta kutokana na kupitiwa na kila mkono wa msomaji. |
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.