![]() |
| Hapa na pale na utalii wa ndani kwa vijiji vyetu. |
![]() |
| Huduma ya usafiri wa gari la mwisho (mpaka kesho tena) katika eneo la kijiji cha Mugango kilichopo Butiama mkoani Mara. |
![]() |
| Maji toka bomba la kijiji cha Mugango wilayani Butiama mkoa wa Mara. |
![]() |
| Kushangaa muhimu... |
![]() |
| Mtaani kunani ....katika eneo la Mugango. |
![]() |
| Hakuna mitaro kwa njia hii ipitayo kijiji cha Dodoma wilayani Magu Mkoani Simiyu. |
![]() |
| Kwamvua hii inayonyesha kwa upande wa mashamba ni neema tu kwa mkulima. |
![]() |
| Njia haipitiki maji yamefurika barabarani. |
![]() |
| Tumeshindwa kuendelea na safari. |
Tupe maoni yako









0 comments:
Post a Comment