| Vijana wa Skylight Band wakionyesha manjonjo yao kwa mashabiki wa Band hiyo wakati wa sherehe za X-MASS ndani ya fukwe za kiota cha Escape One walipotoa burudani ya kukata na shoka kwa mashabiki wao. |
| Aneth Kushaba AK47 akifanya yake jukwaani huku akipewa back up na Joniko Flower, Winnie pamoja na Digna Mbepera. |
| Mary Lukos akiwapa raha mashabiki wa Skylight Band katika kusheherekea sikukuu ya X-MASS ndani ya kiota cha Escape One. |
| Mashabiki wa Skylight Band mdogo mdogo wakijisogeza kwa dancing floor. |
| Joniko Flower akiwasogeza mashabiki kwa dancing floor kuwarusha na gwaride la aina yake. |
| Mguu wa kushoto mbele wa kulia nyuma....Ya chuma chuma nataka mukanda Ya chuma chuma.....!!! Hapo ni gwaride mwanzo mwisho... |
| Mheshimiwa Bernard Bundala na mdau Emmanuel Francis wakionyesha umahiri wao katika kusakata sebene la Skylight Band kwenye sherehe za X-MASS. |
| Hapo sasa twende kazi...!! |
| Mdau Emmanuel Francis akifanya yake, njoo leo Thai Village akifundishe style hii mpya ya Skylight Band. |
| Mashabiki wa Skylight Band wakisebeneka na burudani ya kukata na shoka. |
| Rapa wa Skylight Band Sony Masamba akimpagawisha shabiki wake. |
| Palinogaje wewe uliyekosa tunakupa pole tukutane leo pale Thai Village ufurahie Holiday yako na Skylight Band. |
| Mpiga Solo wa Skylight Band Allen Kisso a.k.a Mundende akimchizisha shabiki na upigaji wake Gitaa. |
| Mrs. Kisso akisebeneka na wifi yake Digna Mbepera. |
| Kwa raha zao kwenye upepo mwanana wa Baharini ndani ya fukwe za kiota cha Escape One, Mikocheni jijini Dar. |
| Watu weweeeee....! |
| Mpaka chini... |
| Daudi Tumba akifanya yake jukwaani, ni kiungo muhimu sana kwenye Live Band. |
| Lubea wa Skylight Band akishow love na Super Model Neema Mbuya na mdau kwenye kiota cga Escape One. |
| Mdau Alois Ngonyani akishow love na mashemeji zake. |
| Mdau Fredy Tony akishow love......!!! |
| Wadau wa Skylight Band kutoka Kijitonyama nao walijumuika na Band hiyo kusheherekea X-MASS ndani ya fukwe za kiota cha Escape One jijini Dar. |
| Fans wa Skylight Band. |
| Mdau William Malecela a.k.a LEMUTUZ akishow love na Mbabes mkareeeee ndani ya kiota cha Escape One. |
| Mdau nambari moja wa Skylight Band Alois Ngonyani akishow love na Sam Mapenzi wakisherekea sikukuu ya X-MASS Escape One jijini Dar. |
| Wadau Batani na Skylight Band ndani ya kiota cha Escape One kilichopo Mikocheni jijini Dar. |
| Aneth Kushaba AK47 akishow love na shabiki wake. |
| Hapo sasa... |
| Watu wa ukweli kwenye muziki wa wastaarabu.....!! |
| Wenye mbeleko haya wenye vibwaya mulele twende kazi.....!!! |
| Mduara ulihusika pia....!! |
| Shazi la kumwaga usiipimie Skylight Band....!!! tukutane leo jioni Thai Village Masaki tufurahi pamoja. |
| Beautiful colours... |
| Skylight Band ni line ya wajanja tuuuu...! |
| Winnie wa Skylight Band akipata Ukodak na wifi yake Mrs. Kisso. |
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment