HII leo familia ya Mr and Mrs Emmanuel Kimori ya jijini Mwanza inasherehekea maadhimisho ya binti yao kutimiza miaka mitano (5) ya kuzaliwa. Kwa niaba ya wadau wote wa blogu hii sanjari na marafiki wa karibu kwa familia tunajumuika kumtakia kheri Nancy Kimori katika siku yake ya kuzaliwa...Karibu tukate keki.!!!
Being young is privilege. Being atractive a genetic gift. Being cool, that is all you. Happy birthday!!!!!!
|
0 comments:
Post a Comment