Sun set at the area...jicho langu toka jiji la Mwanza twaita Rock City. |
Yatch Club Mwanza..... |
Jicho toka Yatch Club kuelekea ziwa Victoria. |
Ni safari za kitalii. |
Zaidi ya Utalii hapa... |
Je unataka kupiga makasia kwa speed ya jet? |
Yatch Club na yanayojiri ziwani. |
Sasa tujumuike pamoja... |
Shughuli imemalizika na sasa ni wasaa wa.... |
Hamia kisiwa cha saa nane mwendo mfupi toka mwambao huu. |
Jionee maandari safi yenye wanyama wa aina kwa aina. |
Maandari. |
Staajabu mawe. |
Hata miti pia ni sehemu ya utalii.... |
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.