![]() |
Fundo...agudu..agudu...!! |
![]() |
Burudani inapokolea.... |
Hisia za Roma. |
![]() |
Hip hop...!!! |
![]() |
Moo Music ni moja kati ya wakali wa Mwanza aliye wachengua Wanasaut kinoma noma. |
![]() |
Kassim Mganga naye alizuka ndani ya Tamasha la Born Fire lililonuia kuwakaribisha wanachuo mwaka wa kwanza wa vyuo mbalimbali nchini. |
![]() |
aaaaah saa mingi umepanda...!!! |
![]() |
Jambo Squard walifunika mbayaaa viwanja vya Raila Odinga Chuo cha SAUT jijini Mwanza. |
![]() |
Jambo Squard wakilishambulia jukwaa pamoko. |
![]() |
"Ah kacha..kacha..kacha twanasa kumbukumbu" |
![]() |
"Mamong'o manjeree machalii ya R....aaah ... ah" |
![]() |
Ilichezeshwa droo kwa wanachuo walio shiriki kujiandikisha Member wa Born Fire mshindi akaibuka na ...... |
![]() |
Huyu ndiye mshindi wetu akikabidhiwa zawadi yake na wadhamini Serengeti Breweries kupitia Pilsner Lager. |
![]() |
Eh bana si ndiyo hiiii......!!! |
![]() |
Chama choma zilikuwa za kutosha tena za ujazo imagine mshkaki mmoja mzito shilingi 500/= tu walichinga ng'ombe wawili. |
![]() |
Dj is doing his thing...!! |
![]() |
SAUT reprezenhe..' |
![]() |
Burudani ya wanavyuo na Hip hop. |
![]() |
Vipaji vya wanavyuona levo za 'udosini' |
![]() |
Mahaba ya kidosi. |
![]() |
Battle ya ma mc ambapo mwisho wa siku jamaa aliyesimama kulia ndiye aliyeibuka kuwa mshindi. |
![]() |
The Nyomi ya SAUT na Born Fire Concert. |
![]() |
Kitu cha Pilsner. |
![]() |
Show love kwa blogu. |
![]() |
Hip hop thing. |
![]() |
The area. |
![]() |
Party dizain flani. |
![]() |
Born Fire hakuna baridah! |
![]() |
The crew ya Serengeti Breweries na wadau wake wakishuhudia moto mkubwa uliowashwa ukimaanisha kukaribisha wanachuo mwaka wa kwanza. |
![]() |
The Born Fire. |
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.