Ni mawe ya jiji la Mwanza na ujembe wa usalama barabarani toka Crown Paints. |
Hawa wamejikita hapa. |
Kofia ngumu huokoa maisha ya mpanda pikipiki na abiria wake. |
Baridiii... |
Ni nyumba juu ya jiwe. |
Mambo ya ujenzi vilima vya Rock city. |
Kama maisha ya ghorofani vile ambapo vyombo vya usafiri hupaki chini. |
Mama na mwana na ngazi kuelekea nyumbani. |
Kwa ukaribu makazi yetu. |
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.