ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Sunday, October 20, 2013

TWARIBU MCHANJO AMGALAGAZA KELVIN MAJIBA

Bondia Twaribu Mchanjo kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Kelvin Majiba wakati wa mchezo wao uliofanyika gongolamba.

Bondia Twaribu Mchanjo kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Kelvin Majiba wakati wa mchezo wao uliofanyika gongolamboto mzambarauni Dar es salaam Mchanjo alishinda kwa point mchezo huo

Bondia Twaribu Mchanjo akishangilia ushindi baada ya kumdunda Kelvin Majiba kwa point 

Bondia Emanuel Philomon kushoto akimtwanga makonde bondia Gaspar Hinde wakati wa mpambano wao philomon alishinda kwa K,O ya raundi ya nne.

Bondia Abdul Zugo kushoto akipambana na Hassani Manula wakati wa mpambano wao uliofanyika Gongolamboto Dar es salaa mpambano huo walitoka nguvu sawa yani ni Droo picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.