Baadhi ya wanachama wa kijiwe cha kahawa cha Bendera mbili mtaa wa Rufiji jijini Mwanza. |
Kutokana na sifa za wachezaji waliosajiliwa kwa timu hizo kwa msimu huu mpya ambao unazikutanisha timu hizo kwenye duru ya kwanza na kwa mara ya kwanza, kila shabiki amekuwa na lake la kujivunia,.
Kwa kuliona hilo SPORTS XTRA ya Clouds Fm ilipata fursa kutembelea kijiwe maarufu cha kahawa kinacho kutanisha mashabiki wa ukweli wa SIMBA na YANGA kinachojulikana kwa jina la Bendera mbili kilichopo mtaa wa Rufiji jijini Mwanza na kuteta na wadau hao,
Bofya play uwasikilize ...
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.