Siyo kipigo wala valangati... Bali waandishi hawa wa habari walianguka chini mara baada ya kujikwaa kwenye moja ya kingo za barabara wakati wa harakani za kuchukua matukio mahakamani hapo |
Johnson Nguza 'Papii' akibusu mkono wake baada ya kuibusu ardhi mara baada ya kutoka mahakamani. |
Watu waliohudhuria mahakama hapo wakifuatilia kesi hiyo. |
Nguza Vicking 'Babu Seya' akiwa na Mwanawe Johnson Nguza wakiteta jambo na wakili wao, Mabere Marando. |
Nguza Vicking 'Babu Seya' akiwa na Mwanawe Johnson Nguza wakati wakitoka mahakamani. |
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.