![]() |
| Ndiyo hivyo tena muda huu majira ya saa moja jioni, Khedija Omary Kopa na Isha Mashauzi wametoka kufanya sound cheki' hapa villa park nao mashabiki nambari moja wa Mwanza hawakukosekana. |
![]() |
| Another photo....kachaaa...Kuelekea mpambano wa Muziki wa Taarab wa Nani zaidi kati ya Isha Mashauzi na Khadija Omar Kopa ndani ya Villa Park Mwanza leo (Tarehe 31/10/2013) |
![]() |
| Isha Mashauzi akiwa na shabiki ake Amina Mundele na shosti ake. |
![]() |
| Kutoka kushoto ni Dj Chriss, Khadija Omary Kopa na Dj John ambao leo watasimamia mpango mzima kiingilio ni shilingi 10,000/= |
![]() |
| 'Kattchaaaaa'.....mlio wa kamera ulisikika.. |
![]() |
| Mwanamuziki nguli wa muziki wa dansi nchini Mzee Kitime akiwa na vijana wake Dj Chriss na Dj John. |
Tupe maoni yako






0 comments:
Post a Comment