![]() |
| Limesukumwa na kutumbukia mtaroni. |
![]() |
| Dereva wa daladala akimsaidia konda wake kutoka. |
![]() |
| Konda alifanikiwa kuchomoka. |
![]() |
| Daladala hili lilikuwa na abiria wawili, kondakta na dereva ambapo hakuna aliyeumia kwani konda naye alikuwa ndani akichukuwa nauli kwa abilia hao wawili. |
Tupe maoni yako






0 comments:
Post a Comment