ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Monday, October 21, 2013

ASAMBAZA TAARIFA ZA MWALIMU NYERERE KUWA MTAKATIFU WA 21.

Mmisionari Simon Nyirani Mhagama wa Shirika la Mt. Kalorilwanga ambaye anasambaza ujumbe kuhusu Hayati Baba wa Taifa Julius Kambarage Nyerere kuwa Mtakatifu wa 21 tangu tarehe 20/03/2013. Simon anatarajia kusafiri mikoa mbalimbali hapa nchini kusambaza ujumbe huo utakaoambatana na kazi ya kufikisha ujumbe wa amani ya nchi kwa wananchi wa taifa la Tanzania.
Msikilize kwa kubofya play.

Picha ya mwisho ya Hayati Baba wa Taifa Julius Kambarage Nyerere aliyopiga kijijini kwake BUTIAMA kabla ya kwenda kupata matibabu nchini Uingereza ambapo alifia katika Hospitali ya Mt. Thomas. 
Picha ya mchoro wa Mtakatifu Charles Lwanga aliyemtangaza Hayati Baba wa Taifa kuwa Mtakatifu wa 21.
Mmisionari Simon Nyirani Mhagama wa Shirika la Mt. Kalorilwanga ambaye anasambaza ujumbe kuhusu Hayati Baba wa Taifa Julius Kambarage Nyerere kuwa Mtakatifu wa 21akiwa katika picha ya pamoja na watoto waliotembelea kaburi la Baba wa Taifa Butiama mkoani Mara.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.