Wateja wa Aitel Tanzania wakipatiwa huduma katika ofisi ya Airet Tanzania iliyopo Moroko jijini Dar es Salaam. |
Afisa Huduma kwa Wateja, Deogratius Hugo akiongea machache wakati wa uzinduzi wa maadhimisho ya wiki wa Wateja yaliyofanyika katika ofisi za Airtel Makao Makuu jijini Dar es Salaam. |
Wafanyakazi wa Airtel Tanzania wakiwa wameshikana mikono kuonyesha mshikamano wakati wa maadhimisho ya wiki ya huduma kwa Mteja. |
Wafanyakazi wa Airtel Tanzania wakiwa wameshikana mikono kuonyesha mshikamano wakati wa maadhimisho ya wiki ya huduma kwa Mteja. |
Mkurugenzi wa Huduma kwa Wateja Airtel Tanzania, Adrian Liamba akiongea wakati wa uzinduzi wa maadhimisho ya wiki ya Mteja yaliyofanyika katika ofisi za Airtel Makao Makuu jijini Dar es Salaam. |
Add caption |
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.