![]() |
| Ni jukwaa la Burudani ndani ya kituo cha English Club Mwanza ambapo ndani ya jukwaa hili wanafunzi hupata fursa ya kujieleza na kutambulisha kazi zao kwa lugha ya Kiingereza. |
![]() |
| Bango.. |
![]() |
| Chumba cha darasa la English Club. |
![]() |
| Kushoto ni Katibu wa MPC Edwin Soko akiwa na Mashaka Bartazar (kulia) wakipitia vitabu mbalimbali vilivyo kwenye maktaba ya English English Club Mwanza. |
![]() |
| Picha ya pamoja kati ya wanahabari na waalimu wa English Club Mwanza. |
Tupe maoni yako







0 comments:
Post a Comment