ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Monday, July 22, 2013

WAZIRI MKUU AFUNGUA RASMI CHUO CHA VETA SONGEA

Mkuu wa chuo cha Veta Songea Gidion Ole Lairumbe (kulia) akimkaribisha Waziri Mkuu Mizengo Pinda chuoni hapo kufungua rasmi chuo hicho, Katikati ni Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Veta Enock Kibendera.

Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Veta Nchini Enock Kibendera (wa pili kulia) akitoa ufafanuzi juu ya utakelezaji ndani ya Veta, mara baada ya Waziri mkuu kuwasili katika Chuo cha Veta Songea, Kulia ni Mkurugenzi wa Veta Nyanda za juu Monica Mbele.
  
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akiangalia moja kati ya mashine zinazotumika kuzalisha bidhaa na pembejeo Chuo cha Veta Songea.

Maelezo toka kwa mmoja kati ya watendaji wanachuo.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara Joyce Mapunjo akiangalia mashine ya gari katika chuo cha Veta wakati wa ziara ya Waziri Mkuu wilayani Songea.

Maelezo namna ya kutengeneza nguo za batiki toka kwa Mkuu wa Chuo cha Veta Songea Gidion Ole Lairumbe.

Safiiiiii....
Akiangalia jiko alilozawadiwa na Veta.

Waziri mkuu akifungua pazia la jiwe la msingi kama ishara ya ufunguzi rasmi wa Chuo cha Veta Songea.

Waziri Mkuu Mizengo Pinda akipanda mti wa kumbukumbu chuoni hapo. 

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.