AKISALIMIANA NA AFISA UHAMIAJI WA MKOA WA RUVUMA KOKU LWEBANDIZA MJINI SONGEA AMBAPO WAZIRI MKUU PINDA ALIKAGUA NA JUJIONEA UJENZI WA JENGO LA IDARA YA UHAMIAJI MKOOANI HUMO |
WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA AKIONGOZWA NA MAAFISA WENGINE WA SERIKALI MKOANI RUVUMA KUKAGUA UJENZI WA JENGO LA UHAMIAJI MJINI SONGEA |
AKISALIMIANA NA AFISA HABARI WA IDARA YA UHAMIAJI |
JENGO LA UHAMIAJI AMBALO UJENZI WAKE UNAENDELEA KAMA LINAVYOONEKANA PICHANI |
KAMNISHINA WA UTAWALA NA FEDHA IDARA YA UHAMIAJI,PINIEL MGONJA AKITOA TAARIFA YA UJENZI WA JENGO ILO KWA WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA |
WAZIRI MKUU AKIWEKA JIWE LA MSINGI,WA KWANZA KULIA NI MAMA TUNU PINDA |
AKIPATA MAELEZO KUTOKA KWA MAAFISA WA IDARA HIYO,KULIA MKUU WA MKOA WA RUVUMA SAID MWAMBUNGU |
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.