ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Sunday, July 21, 2013

"CHAMA LANGU USPIME MUPOoooooooO!"

Mie (L) na Mwenyekiti wa Mwanza Kwanza Philbert Kabago(R).
Jua lileeeee.... Nitaendelea kuwashukuru sana watu wangu kila pande mnaofuatilia matukio kila kuchwao kupitia blogu hii. Kimsingi mnanipa jeuri sana ya kuhakikisha kila siku nawakilisha habari hapa ukurasani hata mida mibovu.

Hivikaribuni kuna kitu kinakuja hivyo hakikisha kama huja saini basi unasaini hapo kulia kuwa mtu wa blogu hii, usije jutia mazuri yatakayo mwaikaaaaa.....
Ni hayo tuuuuu.....
Aksante.

By. Albert G. Sengo
C E O wa G Sengo Blog.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.