ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Wednesday, July 10, 2013

MTEJA WA AIRTEL TUMIA 'AIRTEL YATOSHA' Jumba Hilooo

Kwa mbele part 1.

Bustani..

Kwa mbele part two.

Nyuma.
Mteja wa Airtel tumia AIRTEL YATOSHA Jumba Hilooo

   Kodi ya Nyumba kwaheriii, tumia AIRTEL YATOSHA ujishindie yako
*    Kelele za wapangaji tupa kuleee, Airtel Yatosha ndo habari ya Tanzania
   Zimebaki siku 20 tu mwenye nyumba ya kwanza ya YATOSHA hadharani

Huu ndo mjumba wa kifahari utakaoshinda kupitia droo ya mwisho wa mwezi Hii ni sehemu ya mbele ya Nyumba mojawapo ya AIRTEL YATOSHA.

Nyumba hizi zimejengwa kwa mpangilio maalum  na wataalam  kutoka shirika makini la nyumba Tanzania (National Housing Corporation) Mahali iliko ni Kigamboni Kibada wilaya ya Temeke General View ukiwa maeneo ya nyumba iliko Vitu vizuri unavyoweza kuviona ukiwa nyumbani kwako endapo utaibuka mshindi ni pamoja na Uwanja wa Taifa, uwanja wa ndege na utaweza kujione vizuri vikwangua anga vya jijini dar es salaam kama vile PPF Tower, Uhuru height, Jubilee Tower, Serena Hotel n.k Jiunge na kifurishi cha Airtel Yatosha SIKU, WIKI au MWEZI kwa kupiga *149*99# na chagua kifurushi kitakachokufaa ili uwe mmoja wa washindi watakaofaidika na nyumba hizi.

NB:
Nyumba zote Tatu zina vyumba vitatu vya kulala, Sebule, Jiko na Public toilet na Garden nzuriiiii/ kaliiiiii

Mwishoni mwa waki wadau wa vyombo vya habari na baadhi ya Blog watatemebelea eneo hili kukujulisaha mambo mazuri zaidi


Thanks

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.