Kipande cha makoroboi na barabara ya Nyerere Mwanza. |
Kipande cha maeneo ya karibu na msikiti wa Ibadhi |
Juu kwa juu mtaa wa Liberty. |
Liberty na maboresho speed mdogo mdogo.. |
Juu ya kilele cha miamba na kwa mbali ni hospitali ya Bugando. |
Juu kwa juu na barabara ya Nyerere. |
Eneo la kihistoria lililojengwa zama za ukoloni na Wajerumani lililo juu ya kilele cha moja ya miamba katikati ya mji, ambapo jiji la Mwanza linategemea kulifanya kituo cha utalii. |
Hospitali ya Rufaa ya Bugando jijini Mwanza. |
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.