Ni Bwana Leonard Masenga na Bi. Diana ambapo mwishoni mwa wiki wamefunga pingu za maisha kwa kufunga ndoa Takatifu katika kanisa la Roman Catholic Mwanza. |
Kamati iliyofanikisha harusi. |
Safu ya dadaZ... |
Kamati ilikuwa na neno. |
Kisha kamati ikawasilisha zawadi yake. |
Chekshia ming'aro... |
Meza ya wadau wa karibu na bwana harusi. |
Take one. |
Maharusi na ndugu wa bwana harusi Leonard Masenga. |
Maharusi na ndugu wa Bi. Harusi Diana. |
Marafiki wa Bwana harusi. |
Wow nice flash... |
WanaumeeeEEE...Heee!!! |
Pix na frendz wa Blogu hii. |
Jiografia ya ukumbi wa New Mwanza Hotel katika harusi ya Bwana na Bibi Leonard Masenga. |
Take two. |
Tokelezea. |
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.